Maelekezo ya Kujiunga na Shule za Sekondari Yapatikana Sasa!
Tunafurahi kuwatangazia wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Chalinze kwa mwaka wa masomo 2024 kuwa maelekezo ya kujiunga (joining instructions) sasa yanapatikana kwenye tovuti yetu Unaweza kupata Joining Instruction kwa kubonyenza link Download Joining instruction 2024 sasa