Matokeo ya Mtihani wa Pre-Mock wa Kidato cha Nne 2024 yametolewa, na kuonyesha utendakazi changamoto kwa baadhi ya wanafunzi. Licha ya juhudi za walimu na sule kuboresha elimu, matokeo yanaonyesha kuwa bado kuna pengo kubwa linalohitaji kushughulikiwa